Surah Nahl aya 117 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿مَتَاعٌ قَلِيلٌ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ﴾
[ النحل: 117]
Ni starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[It is but] a brief enjoyment, and they will have a painful punishment.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ni starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu.
Wakiendelea kufuata matamanio yao ya kidunia, basi hakika starehe yao hiyo ni chache na haina dawamu, na Akhera watapata adhabu kali.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia.
- Na Yeye ndiye anaye teremsha maji kutoka mbinguni; na kwayo tunatoa mimea ya kila kitu.
- Rudini kwa baba yenu, na mwambieni: Ee baba yetu! Mwanao ameiba. Na sisi hatutoi ushahidi
- Alif Lam Mym Ra. (A. L. M. R.) Hizi ni Ishara za Kitabu. Na uliyo
- Na hiyo ndiyo neema ya kunisumbulia, na wewe umewatia utumwani Wana wa Israili?
- Na kwa usiku unapo pungua,
- Rehema ambayo Mwenyezi Mungu anawafungulia watu hapana wa kuizuia. Na anayo izuia hapana wa kuipeleka
- Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa.
- Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
- (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



