Surah Hijr aya 12 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿كَذَٰلِكَ نَسْلُكُهُ فِي قُلُوبِ الْمُجْرِمِينَ﴾
[ الحجر: 12]
Na kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo za wakosefu.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Thus do We insert denial into the hearts of the criminals.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo za wakosefu.
Kama tulivyo itia Qurani katika nyoyo za Waumini ikaingiza mwangaza, basi kadhaalika tumeingiza upotovu katika nyoyo za walio pigwa muhuri wa ukosefu; hali ya katika nyoyo zao ikawa kinyume cha hayo. Upotovu ukatia mizizi katika roho zao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika hiyo ni kituo na makao mabaya.
- Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao.
- Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili,
- Na wakapanga vitimbi vikubwa.
- Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbuka Mola wake Mlezi atamsukuma kwenye adhabu ngumu.
- Basi nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru.
- Na hakika tumeifanya nyepesi (Qur'ani) kwa ulimi wako, ili uwabashirie kwayo wachamngu, na uwaonye kwayo
- Enyi Mitume! Kuleni vyakula vizuri na tendeni mema. Hakika Mimi ni Mjuzi wa mnayo yatenda.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Na ardhi itakapo tanuliwa,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



