Surah Nahl aya 120 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّ إِبْرَاهِيمَ كَانَ أُمَّةً قَانِتًا لِّلَّهِ حَنِيفًا وَلَمْ يَكُ مِنَ الْمُشْرِكِينَ﴾
[ النحل: 120]
Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, Abraham was a [comprehensive] leader, devoutly obedient to Allah, inclining toward truth, and he was not of those who associate others with Allah.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa MwenyeziMungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
Hakika Ibrahim, mnaye tafakhari naye nyinyi washirikina na Mayahudi, alikuwa amekusanya kila fadhila njema, na yu mbali na upotovu wenu, ni mtiifu wa amri ya Mola wake Mlezi, na wala hakuwa mshirikina kama nyinyi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na tukaacha humo Ishara kwa ajili ya wanao iogopa adhabu chungu.
- Naye yuko juu kabisa upeo wa macho.
- Alipo mwambia baba yake: Ewe baba yangu! Kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona,
- HAKIKA wamefanikiwa Waumini,
- Mwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera.
- Wamelaanika! Popote watakapo onekana watakamatwa na watauliwa kabisa.
- Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni. Kisha akayapitisha kwenye chemchem katika ardhi,
- Na kwa usiku unapo pita,
- Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia
- Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers