Surah Assaaffat aya 137 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِنَّكُمْ لَتَمُرُّونَ عَلَيْهِم مُّصْبِحِينَ﴾
[ الصافات: 137]
Na hakika nyinyi mnawapitia wakati wa asubuhi,
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And indeed, you pass by them in the morning
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hakika nyinyi mnawapitia wakati wa asubuhi,.
Na hakika nyinyi, watu wa Makka, mnayapitia majumba ya hao kaumu Luti katika safari zenu za kwendea Sham asubuhi au usiku. Je! Mmepotelewa na akili zenu hata hamwezi kuzingatia yaliyo wapitia hao kuwa ni malipo ya ukanushaji wao?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ingawa atatoa chungu ya udhuru.
- Enyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru..
- Wakishambulia wakati wa asubuhi,
- Ni nini kilicho kupelekeni Motoni?
- Hapana nafsi ila inayo mwangalizi.
- Wala hatukumfundisha (Muhammad) mashairi, wala hayatakikani kwake hayo. Haukuwa huu ila ni ukumbusho na Qur'ani
- Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
- Naye atakuja ridhika!
- Au hatawashika kwa kitisho na kuwapunguza kidogo kidogo? Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye huruma,
- Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers