Surah Sajdah aya 17 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَلَا تَعْلَمُ نَفْسٌ مَّا أُخْفِيَ لَهُم مِّن قُرَّةِ أَعْيُنٍ جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ﴾
[ السجدة: 17]
Nafsi yoyote haijui waliyo fichiwa katika hayo yanayo furahisha macho - ni malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda.
Surah As-Sajdah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And no soul knows what has been hidden for them of comfort for eyes as reward for what they used to do.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Nafsi yoyote haijui waliyo fichiwa katika hayo yanayo furahisha macho - ni malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda.
Na hapana mtu yeyote anaye jua kiasi cha Mwenyezi Mungu alicho muandalia na akawafichia katika neema kubwa kubwa, na ambazo ni za kupoza macho yao, kuwa ni malipo kwa waliyo kuwa wanayachuma ya utiifu na vitendo.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu habadilishi kabisa neema alizo waneemesha watu, mpaka wao wabadilishe
- Lakini wakaacha. Tukawapelekea mafuriko makubwa, na tukawabadilishia badala ya bustani zao hizo kwa bustani nyengine
- Wakasema: Apishaneni kwa Mwenyezi Mungu tutamshambulia usiku yeye na ahali zake; kisha tutamwambia mrithi wake:
- Ama mtu anapo jaribiwa na Mola wake Mlezi, akamkirimu na akamneemesha, husema: Mola wangu Mlezi
- Basi onjeni kwa vile mlivyo usahau mkutano wa Siku yenu hii. Na Sisi hakika tunakusahauni.
- Basi onjeni adhabu na maonyo yangu!
- Na watakapo tupwa humo mahali dhiki, hali wamefungwa, wataomba wafe.
- Na wakikujadili basi sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi mnayo yatenda.
- Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao.
- Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sajdah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sajdah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sajdah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers