Surah Jathiyah aya 20 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿هَٰذَا بَصَائِرُ لِلنَّاسِ وَهُدًى وَرَحْمَةٌ لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ﴾
[ الجاثية: 20]
Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha.
Surah Al-Jaathiyah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
This [Qur'an] is enlightenment for mankind and guidance and mercy for a people who are certain [in faith].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha.
Hii Qurani ulio teremshiwa wewe ni dalili kwa watu kuwaonyesha Dini ya Haki, na uwongofu wa kuwaongoza kwenye njia za kheri, na neema kwa watu wenye kuyakinisha thawabu na adhabu za Mwenyezi Mungu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Nikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe.
- Zimekwisha kukujieni hoja wazi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Basi anaye ona ni kwa faida
- Na Mwenyezi Mungu anapiga mfano wa watu wawili. Mmoja wao ni bubu, hawezi chochote, naye
- Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi.
- Na hawakutupoteza ila wale wakosefu.
- Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!
- Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha?
- Na shari ya hasidi anapo husudu.
- Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Mola Mlezi wa A'rshi tukufu..
- Ambaye atauingia Moto mkubwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Jathiyah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Jathiyah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Jathiyah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers