Surah An Naba aya 20 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَسُيِّرَتِ الْجِبَالُ فَكَانَتْ سَرَابًا﴾
[ النبأ: 20]
Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi.
Surah An-Naba in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the mountains are removed and will be [but] a mirage.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi.
Na milima itaondolewa baada ya kungolewa mwahala mwake, na kuvurugwa, ikawa unaiona kama sura ya milima na hali hiyo ni kifusi tu kilicho rindikwa, kama uonavyo mangati, sarabi, unaona kama sura ya maji nayo si maji.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kwa usiku na unavyo vikusanya,
- Basi leo nafsi yoyote haitadhulumiwa kitu, wala hamtalipwa ila yale mliyo kuwa mkiyatenda.
- Kina Thamud waliwakanusha Mitume.
- Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?
- Kumbukeni pale mlipo kuwa nyinyi kwenye ng'ambo ya karibu ya bonde, na wao wakawa ng'ambo
- Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya wakosefu!
- Na kwa Aliye umba dume na jike!
- Mwenyezi Mungu ameifanya Al Kaaba, hii Nyumba Tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika Miezi
- Na mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao.
- Kisha tukaleta baada yao vizazi vingine.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah An Naba with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah An Naba mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter An Naba Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers