Surah Yusuf aya 74 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالُوا فَمَا جَزَاؤُهُ إِن كُنتُمْ كَاذِبِينَ﴾
[ يوسف: 74]
Wakasema: Basi malipo yake yatakuwa nini ikiwa nyinyi ni waongo?
Surah Yusuf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The accusers said, "Then what would be its recompense if you should be liars?"
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wakasema: Basi malipo yake yatakuwa nini ikiwa nyinyi ni waongo.
Na Yusuf alikwisha waamrisha wafwasi wake wawaache nduguze waamue nini malipo anayo stahiki kupata yule atakaye onekana nacho kile kikopo, ili apate kumchukua nduguye kwa hukumu yao wenyewe, na iwe hukumu yao ndiyo ya kukata shauri, isiwepo njia ya kumwombea. Basi watu wa Yusuf wakawaambia wale nduguze: Nini malipo ya wevi kwenu wanapo gundulikana ni katika nyinyi?
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Je! Mmemuona Lata na Uzza?
- Basi mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi.
- Hizi ni Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki. Na hakika wewe ni miongoni mwa
- Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa Madina pia wapo
- Na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie.
- Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia.
- Basi, simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wewe na wale wanao elekea kwa Mwenyezi Mungu
- Na wao ni mashahidi wa yale waliyo kuwa wakiwafanyia Waumini.
- Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
- Basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yusuf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yusuf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yusuf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



