Surah Hijr aya 78 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِن كَانَ أَصْحَابُ الْأَيْكَةِ لَظَالِمِينَ﴾
[ الحجر: 78]
Na hakika watu wa Kichakani walikuwa wenye kudhulumu.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the companions of the thicket were [also] wrongdoers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Hakika watu wa kichakani, walikuwa wenye kudhulumu
Kama kaumu ya Luuti walivyo kadhibisha, kadhaalika wakaazi wa Kichakani kwenye msitu wenye matunda walimkanya Mtume wao. Wakawa madhaalimu wenye kudhulumu mno katika imani yao na maingiliano yao.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala nisingeli jua nini hisabu yangu.
- Tutamsahilishia yawe mepesi.
- Na Lut'i alipo waambia watu wake: Je! Mnafanya uchafu nanyi mnaona?
- Wala msiwategemee wanao dhulumu, usije ukakuguseni Moto. Wala nyinyi hamna walinzi badala ya Mwenyezi Mungu,
- Watanyweshwa kinywaji safi kiliyo tiwa muhuri,
- (Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi?
- Kwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki.
- Bustani zenye matawi yaliyo tanda.
- Kwa sababu hakusadiki, wala hakusali.
- Sisi tunasimulia simulizi nzuri kwa kukufunulia Qur'ani hii. Na ijapo kuwa kabla ya haya ulikuwa
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers