Surah Yunus aya 86 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَنَجِّنَا بِرَحْمَتِكَ مِنَ الْقَوْمِ الْكَافِرِينَ﴾
[ يونس: 86]
Na utuokoe kwa rehema yako na watu makafiri.
Surah Yunus in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And save us by Your mercy from the disbelieving people."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na utuokoe kwa rehema yako na watu makafiri.
Wakamwomba Mola wao Mlezi wakisema: Kwa vile ulivyo tumiminia neema na rehema, na kwa wingi wa rehema yako unayo sifika nayo, tuokoe na hawa watu wanao kataa, wenye kudhulumu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala giza na mwangaza.
- Hakikingi moto, wala hakiwaepushi na mwako.
- Hakika Mwenyezi Mungu atawaingiza walio amini na wakatenda mema katika Bustani zipitiwazo na mito kati
- Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi.
- Na ambao wanatoa Zaka,
- Sema: Mola wangu Mlezi! Ukinionyesha adhabu waliyo ahidiwa,
- Ati kwa kuwa ana mali na watoto!
- Na walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa.
- Hakika wale walio amini na wakatenda mema - hakika Sisi hatupotezi ujira wa anaye tenda
- Na ambaye amewafyonya wazazi wake na akawaambia: Ati ndio mnanitisha kuwa nitafufuliwa, na hali vizazi
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yunus with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yunus mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yunus Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers