Surah Al-Haqqah aya 42 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَا بِقَوْلِ كَاهِنٍ ۚ قَلِيلًا مَّا تَذَكَّرُونَ﴾
[ الحاقة: 42]
Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka.
Surah Al-Haqqah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Nor the word of a soothsayer; little do you remember.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka.
Wala Qurani haisemi kwa maneno ya kumunyia munyia kama wanenavyo makuhani mlio wazoea. Ni uchache mno kukumbuka kwenu na kuzingatia khitilafu zilioko baina ya Qurani na maneno ya makuhani.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Walikuwa wakilala kidogo tu usiku.
- Enyi mlio amini! Kuleni vizuri tulivyo kuruzukuni, na mumshukuru Mwenyezi Mungu, ikiwa kweli mnamuabudu Yeye
- (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula
- Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji?
- Ambao wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wanaitakia ipotoke, na wanaikataa Akhera.
- Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali
- Ole wao hao wapunjao!
- Thamudi waliwakanusha Waonyaji.
- Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana
- Si cha kuburudisha wala kustarehesha.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al-Haqqah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al-Haqqah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al-Haqqah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers