Sura Al-Masad kwa Kiarabu na Kiswahili

Soma Sura Al-Masad na tafsiri kamili ya Kiswahili, maandishi na usomaji wa sauti. Tafsiri aya kwa aya. (5 Aya — مكية). Al-Masad Sikiliza, Al-Masad Tafsiri, Al-Masad mp3, Al-Masad pdf.

Soma na Sikiliza Sura Al-Masad

🎧 Aya
M Mishary Rashid Alafasy
M Mahmoud Khalil Al-Husary
A Abdurrahman As-Sudais
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi
A Abdul Basit Abdul Samad
A Ali Al-Hudhaify
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy
A Abu Bakr Ash-Shaatree
M Muhammad Ayyoub
A Abdullah Basfar
A Abdullah Al-Juhani
M Maher Al Muaiqly
x1
تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ۝١
📖 Tafsiri Aya 1
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ ۝٢
📖 Tafsiri Aya 2
Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ۝٣
📖 Tafsiri Aya 3
Atauingia Moto wenye mwako.
وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ ۝٤
📖 Tafsiri Aya 4
Na mkewe, mchukuzi wa kuni,
فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ ۝٥
📖 Tafsiri Aya 5
Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.
← 110 Al-Masad (111/114) 112 →
Soma Sura Al-Masad kwa Kiswahili – Tafsiri na Sauti

111المسد Al-Masad 📚 5 Aya مكية



Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema