Al-Masad · 1/5
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Masad
تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ۝١
Tab bat yadaa abee Lahabinw-wa tabb
📖 Kwa Kiswahili
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 1-3 — Sura Al-Masad

1تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
2مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ
Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
3سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ
Atauingia Moto wenye mwako.
Al-MasadFaharasa ya Qurani
5Aya
MakkaRevelation
1Aya

Tafsiri — Al-Masad 1

Sura Al-Masad Aya 1 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.

Sura Aya 1/5 — Sura Al-Masad المسد (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Masad Sikiliza, Sura Al-Masad Tafsiri, Sura Al-Masad mp3, Sura Al-Masad pdf. Aya 1–3. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema