6 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﮀﮁﮂﮃﮄ
114:1 Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
ﮅﮆﮇ
114:2 Mfalme wa wanaadamu,
ﮈﮉﮊ
114:3 Mungu wa wanaadamu,
ﮋﮌﮍﮎﮏ
114:4 Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
ﮐﮑﮒﮓﮔﮕ
114:5 Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
ﮖﮗﮘﮙ
114:6 Kutokana na majini na wanaadamu.

Kurani Tukufu


Wednesday, September 9, 2026

Usitusahau katika dua zako njema