4 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﭑﭒﭓ
106:1 Kwa walivyo zoea Maqureshi,
ﭔﭕﭖﭗﭘ
106:2 Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
ﭙﭚﭛﭜﭝ
106:3 Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,
ﭞﭟﭠﭡﭢﭣﭤﭥ
106:4 Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.

Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema