Sura Al-Fil pdf — Pakua (Kiswahili)
Sura Al-Fil pdf Kiswahili — Pakua Sura Al-Fil Tafsiri. Sura Al-Fil (Makka) 5 Aya.
Related
- Sura Al-Fil TafsiriKiswahili
- Sura Al-Fil mp3Sikiliza
- Quran Index Kiswahili114
More Sura PDF
Sura Al-Fil

ﮍﮎﮏﮐﮑﮒﮓﮔ
105:1
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo?
ﮕﮖﮗﮘﮙﮚ
105:2
Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
ﮛﮜﮝﮞﮟ
105:3
Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi,
ﮠﮡﮢﮣﮤ
105:4
Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
ﮥﮦﮧﮨ
105:5
Akawafanya kama majani yaliyo liwa!
Kurani Tukufu
Wednesday, September 9, 2026
Usitusahau katika dua zako njema







