PDF —
7 Aya Makka PDF
Built right in your browser — download starts automatically

Sura Al-Ma'un pdf — Pakua (Kiswahili)

Sura Al-Ma'un pdf Kiswahili — Pakua Sura Al-Ma'un Tafsiri. Sura Al-Ma'un (Makka) 7 Aya.



7 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﭦﭧﭨﭩﭪ
107:1 Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
ﭫﭬﭭﭮﭯ
107:2 Huyo ndiye anaye msukuma yatima,
ﭰﭱﭲﭳﭴﭵ
107:3 Wala hahimizi kumlisha masikini.
ﭶﭷﭸ
107:4 Basi, ole wao wanao sali,
ﭹﭺﭻﭼﭽﭾ
107:5 Ambao wanapuuza Sala zao;
ﭿﮀﮁﮂ
107:6 Ambao wanajionyesha,
ﮃﮄﮅ
107:7 Nao huku wanazuia msaada.

Kurani Tukufu


Wednesday, September 9, 2026

Usitusahau katika dua zako njema