3 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﮆﮇﮈﮉ
108:1 Hakika tumekupa kheri nyingi.
ﮊﮋﮌﮍ
108:2 Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
ﮎﮏﮐﮑﮒ
108:3 Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.

Kurani Tukufu


Sunday, November 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema