PDF —
9 Aya Makka PDF
Built right in your browser — download starts automatically

Sura Al-Humaza pdf — Pakua (Kiswahili)

Sura Al-Humaza pdf Kiswahili — Pakua Sura Al-Humaza Tafsiri. Sura Al-Humaza (Makka) 9 Aya.

← Al-'AsrSura Al-Humaza Al-Fil →


9 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﭢﭣﭤﭥﭦ
104:1 Ole wake kila safihi, msengenyaji!
ﭧﭨﭩﭪﭫ
104:2 Aliye kusanya mali na kuyahisabu.
ﭬﭭﭮﭯﭰ
104:3 Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
ﭱﭲﭳﭴﭵﭶ
104:4 Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama.
ﭷﭸﭹﭺﭻ
104:5 Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama?
ﭼﭽﭾﭿ
104:6 Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa.
ﮀﮁﮂﮃﮄ
104:7 Ambao unapanda nyoyoni.
ﮅﮆﮇﮈ
104:8 Hakika huo utafungiwa nao
ﮉﮊﮋﮌ
104:9 Kwenye nguzo zilio nyooshwa.

Kurani Tukufu


Wednesday, September 9, 2026

Usitusahau katika dua zako njema