3 Aya · Madina · Kiswahili
bismillah
ﭱﭲﭳﭴﭵﭶ
110:1 Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
ﭷﭸﭹﭺﭻﭼﭽﭾ
110:2 Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
ﭿﮀﮁﮂﮃﮄﮅﮆﮇ
110:3 Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.

Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema