Sura Al-Qari'a kwa Kiarabu na Kiswahili

Soma Sura Al-Qari'a na tafsiri kamili ya Kiswahili, maandishi na usomaji wa sauti. Tafsiri aya kwa aya. (11 Aya — مكية). Al-Qari'a Sikiliza, Al-Qari'a Tafsiri, Al-Qari'a mp3, Al-Qari'a pdf.

Soma na Sikiliza Sura Al-Qari'a

🎧 Aya
M Mishary Rashid Alafasy
M Mahmoud Khalil Al-Husary
A Abdurrahman As-Sudais
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi
A Abdul Basit Abdul Samad
A Ali Al-Hudhaify
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy
A Abu Bakr Ash-Shaatree
M Muhammad Ayyoub
A Abdullah Basfar
A Abdullah Al-Juhani
M Maher Al Muaiqly
x1
الْقَارِعَةُ ۝١
📖 Tafsiri Aya 1
Inayo gonga!
مَا الْقَارِعَةُ ۝٢
📖 Tafsiri Aya 2
Nini Inayo gonga?
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْقَارِعَةُ ۝٣
📖 Tafsiri Aya 3
Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?
يَوْمَ يَكُونُ النَّاسُ كَالْفَرَاشِ الْمَبْثُوثِ ۝٤
📖 Tafsiri Aya 4
Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;
وَتَكُونُ الْجِبَالُ كَالْعِهْنِ الْمَنفُوشِ ۝٥
📖 Tafsiri Aya 5
Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
فَأَمَّا مَن ثَقُلَتْ مَوَازِينُهُ ۝٦
📖 Tafsiri Aya 6
Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
فَهُوَ فِي عِيشَةٍ رَّاضِيَةٍ ۝٧
📖 Tafsiri Aya 7
Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.
وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَازِينُهُ ۝٨
📖 Tafsiri Aya 8
Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
فَأُمُّهُ هَاوِيَةٌ ۝٩
📖 Tafsiri Aya 9
Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!
وَمَا أَدْرَاكَ مَا هِيَهْ ۝١٠
📖 Tafsiri Aya 10
Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?
نَارٌ حَامِيَةٌ ۝١١
📖 Tafsiri Aya 11
Ni Moto mkali!
← 100 Al-Qari'a (101/114) 102 →
Soma Sura Al-Qari'a kwa Kiswahili – Tafsiri na Sauti

101القارعة Al-Qari'ah 📚 11 Aya مكية



Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema