Sura Al-Qari'a pdf — Pakua (Kiswahili)
Sura Al-Qari'a pdf Kiswahili — Pakua Sura Al-Qari'a Tafsiri. Sura Al-Qari'a (Makka) 11 Aya.
Related
- Sura Al-Qari'a TafsiriKiswahili
- Sura Al-Qari'a mp3Sikiliza
- Quran Index Kiswahili114
More Sura PDF
Sura Al-Qari'a

ﭴﭵ
101:1
Inayo gonga!
ﭶﭷﭸ
101:2
Nini Inayo gonga?
ﭹﭺﭻﭼﭽ
101:3
Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?
ﭾﭿﮀﮁﮂﮃ
101:4
Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;
ﮄﮅﮆﮇﮈ
101:5
Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
ﮉﮊﮋﮌﮍ
101:6
Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
ﮎﮏﮐﮑﮒ
101:7
Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.
ﮓﮔﮕﮖﮗ
101:8
Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
ﮘﮙﮚ
101:9
Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!
ﮛﮜﮝﮞﮟ
101:10
Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?
ﮠﮡﮢ
101:11
Ni Moto mkali!
Kurani Tukufu
Wednesday, September 9, 2026
Usitusahau katika dua zako njema







