Sura Al-Humaza kwa Kiarabu na Kiswahili

Soma Sura Al-Humaza na tafsiri kamili ya Kiswahili, maandishi na usomaji wa sauti. Tafsiri aya kwa aya. (9 Aya — مكية). Al-Humaza Sikiliza, Al-Humaza Tafsiri, Al-Humaza mp3, Al-Humaza pdf.

Soma na Sikiliza Sura Al-Humaza

🎧 Aya
M Mishary Rashid Alafasy ✓
M Mahmoud Khalil Al-Husary ✓
A Abdurrahman As-Sudais ✓
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi ✓
A Abdul Basit Abdul Samad ✓
A Ali Al-Hudhaify ✓
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy ✓
A Abu Bakr Ash-Shaatree ✓
M Muhammad Ayyoub ✓
A Abdullah Basfar ✓
A Abdullah Al-Juhani ✓
M Maher Al Muaiqly ✓
—
x1
bismillah
وَيْلٌ لِّكُلِّ هُمَزَةٍ لُّمَزَةٍ ۝١
📖 Tafsiri Aya 1
Ole wake kila safihi, msengenyaji!
الَّذِي جَمَعَ مَالًا وَعَدَّدَهُ ۝٢
📖 Tafsiri Aya 2
Aliye kusanya mali na kuyahisabu.
يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُ أَخْلَدَهُ ۝٣
📖 Tafsiri Aya 3
Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
كَلَّا ۖ لَيُنبَذَنَّ فِي الْحُطَمَةِ ۝٤
📖 Tafsiri Aya 4
Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama.
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْحُطَمَةُ ۝٥
📖 Tafsiri Aya 5
Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama?
نَارُ اللَّهِ الْمُوقَدَةُ ۝٦
📖 Tafsiri Aya 6
Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa.
الَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى الْأَفْئِدَةِ ۝٧
📖 Tafsiri Aya 7
Ambao unapanda nyoyoni.
إِنَّهَا عَلَيْهِم مُّؤْصَدَةٌ ۝٨
📖 Tafsiri Aya 8
Hakika huo utafungiwa nao
فِي عَمَدٍ مُّمَدَّدَةٍ ۝٩
📖 Tafsiri Aya 9
Kwenye nguzo zilio nyooshwa.
← 103 Al-Humaza (104/114) 105 →
Soma Sura Al-Humaza kwa Kiswahili – Tafsiri na Sauti

104الهمزة Al-Humazah 📚 9 Aya مكية



Kurani Tukufu


Monday, September 28, 2026

Usitusahau katika dua zako njema