7 Aya · Makka · Kiswahili
ﭑﭒﭓﭔﭕ
1:1 KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
ﭖﭗﭘﭙﭚ
1:2 Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
ﭛﭜﭝ
1:3 Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
ﭞﭟﭠﭡ
1:4 Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
ﭢﭣﭤﭥﭦ
1:5 Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
ﭧﭨﭩﭪ
1:6 Tuongoe njia iliyo nyooka,
ﭫﭬﭭﭮﭯﭰﭱﭲﭳﭴ
1:7 Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema