5 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﭴﭵﭶﭷﭸﭹ
97:1 Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
ﭺﭻﭼﭽﭾﭿ
97:2 Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
ﮀﮁﮂﮃﮄﮅﮆ
97:3 Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
ﮇﮈﮉﮊﮋﮌﮍﮎﮏﮐ
97:4 Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
ﮑﮒﮓﮔﮕﮖ
97:5 Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.

Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema