Al-Ghashiya · 24/26
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Ghashiya
فَيُعَذِّبُهُ اللَّهُ الْعَذَابَ الْأَكْبَرَ ۝٢٤
Fa yu`azzibuhul laahul `azaabal akbar
📖 Kwa Kiswahili
Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa!

🎧 Sikiliza


📜 Aya 22-26 — Sura Al-Ghashiya

22لَّسْتَ عَلَيْهِم بِمُصَيْطِرٍ
Wewe si mwenye kuwatawalia.
23إِلَّا مَن تَوَلَّىٰ وَكَفَرَ
Lakini anaye rudi nyuma na kukataa,
24فَيُعَذِّبُهُ اللَّهُ الْعَذَابَ الْأَكْبَرَ
Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa!
25إِنَّ إِلَيْنَا إِيَابَهُمْ
Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao.
26ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا حِسَابَهُم
Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao!
Al-GhashiyaFaharasa ya Qurani
26Aya
MakkaRevelation
24Aya

Tafsiri — Al-Ghashiya 24

Sura Al-Ghashiya Aya 24 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa!

Sura Aya 24/26 — Sura Al-Ghashiya الغاشية (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Ghashiya Sikiliza, Sura Al-Ghashiya Tafsiri, Sura Al-Ghashiya mp3, Sura Al-Ghashiya pdf. Aya 22–26. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema