Al-Ghashiya · 23/26
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Ghashiya
إِلَّا مَن تَوَلَّىٰ وَكَفَرَ ۝٢٣
Illaa man tawallaa wa kafar
📖 Kwa Kiswahili
Lakini anaye rudi nyuma na kukataa,

🎧 Sikiliza


📜 Aya 21-25 — Sura Al-Ghashiya

21فَذَكِّرْ إِنَّمَا أَنتَ مُذَكِّرٌ
Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji.
22لَّسْتَ عَلَيْهِم بِمُصَيْطِرٍ
Wewe si mwenye kuwatawalia.
23إِلَّا مَن تَوَلَّىٰ وَكَفَرَ
Lakini anaye rudi nyuma na kukataa,
24فَيُعَذِّبُهُ اللَّهُ الْعَذَابَ الْأَكْبَرَ
Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa!
25إِنَّ إِلَيْنَا إِيَابَهُمْ
Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao.
Al-GhashiyaFaharasa ya Qurani
26Aya
MakkaRevelation
23Aya

Tafsiri — Al-Ghashiya 23

Sura Al-Ghashiya Aya 23 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Lakini anaye rudi nyuma na kukataa,

Sura Aya 23/26 — Sura Al-Ghashiya الغاشية (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Ghashiya Sikiliza, Sura Al-Ghashiya Tafsiri, Sura Al-Ghashiya mp3, Sura Al-Ghashiya pdf. Aya 21–25. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema