4 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﭑﭒﭓﭔﭕ
112:1 Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
ﭖﭗﭘ
112:2 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
ﭙﭚﭛﭜﭝ
112:3 Hakuzaa wala hakuzaliwa.
ﭞﭟﭠﭡﭢﭣ
112:4 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema