3 Aya · Makka · Kiswahili
bismillah
ﭑﭒ
103:1 Naapa kwa Zama!
ﭓﭔﭕﭖﭗ
103:2 Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
ﭘﭙﭚﭛﭜﭝﭞﭟﭠﭡ
103:3 Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.

Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema