PDF —
8 Aya Madina PDF
Built right in your browser — download starts automatically

Sura Az-Zalzala pdf — Pakua (Kiswahili)

Sura Az-Zalzala pdf Kiswahili — Pakua Sura Az-Zalzala Tafsiri. Sura Az-Zalzala (Madina) 8 Aya.



8 Aya · Madina · Kiswahili
bismillah
ﮅﮆﮇﮈﮉ
99:1 Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!
ﮊﮋﮌﮍ
99:2 Na itakapo toa ardhi mizigo yake!
ﮎﮏﮐﮑﮒ
99:3 Na mtu akasema: Ina nini?
ﮓﮔﮕﮖ
99:4 Siku hiyo itahadithia khabari zake.
ﮗﮘﮙﮚﮛ
99:5 Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!
ﮜﮝﮞﮟﮠﮡﮢ
99:6 Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!
ﮣﮤﮥﮦﮧﮨﮩ
99:7 Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!
ﮪﮫﮬﮭﮮﮯﮰ
99:8 Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!

Kurani Tukufu


Wednesday, September 9, 2026

Usitusahau katika dua zako njema