Ya-Sin · 6/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ya-Sin
لِتُنذِرَ قَوْمًا مَّا أُنذِرَ آبَاؤُهُمْ فَهُمْ غَافِلُونَ ۝٦
Litunzira qawmam maaa unzira aabaaa`uhum fahum ghaafiloon
📖 Kwa Kiswahili
Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa, basi wao wamekuwa wenye kughafilika.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 4-8 — Sura Ya-Sin

4عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ
Juu ya Njia Iliyo Nyooka.
5تَنزِيلَ الْعَزِيزِ الرَّحِيمِ
Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.
6لِتُنذِرَ قَوْمًا مَّا أُنذِرَ آبَاؤُهُمْ فَهُمْ غَافِلُونَ
Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa, basi wao wamekuwa wenye kughafilika.
7لَقَدْ حَقَّ الْقَوْلُ عَلَىٰ أَكْثَرِهِمْ فَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini.
8إِنَّا جَعَلْنَا فِي أَعْنَاقِهِمْ أَغْلَالًا فَهِيَ إِلَى الْأَذْقَانِ فَهُم مُّقْمَحُونَ
Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu tu.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
6Aya

Tafsiri — Ya-Sin 6

Sura Ya-Sin Aya 6 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa, basi wao wamekuwa…

Sura Aya 6/83 — Sura Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ya-Sin Sikiliza, Sura Ya-Sin Tafsiri, Sura Ya-Sin mp3, Sura Ya-Sin pdf. Aya 4–8. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema