At-Takwir · 9/29
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura At-Takwir
بِأَيِّ ذَنبٍ قُتِلَتْ ۝٩
Bi ayyi zambin qutilat
📖 Kwa Kiswahili
Kwa kosa gani aliuliwa?

🎧 Sikiliza


📜 Aya 7-11 — Sura At-Takwir

7وَإِذَا النُّفُوسُ زُوِّجَتْ
Na nafsi zikaunganishwa,
8وَإِذَا الْمَوْءُودَةُ سُئِلَتْ
Na msichana aliye zikwa hai atapo ulizwa,
9بِأَيِّ ذَنبٍ قُتِلَتْ
Kwa kosa gani aliuliwa?
10وَإِذَا الصُّحُفُ نُشِرَتْ
Na madaftari yatakapo enezwa,
11وَإِذَا السَّمَاءُ كُشِطَتْ
Na mbingu itapo tanduliwa,
At-TakwirFaharasa ya Qurani
29Aya
MakkaRevelation
9Aya

Tafsiri — At-Takwir 9

Sura At-Takwir Aya 9 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Kwa kosa gani aliuliwa?

Sura Aya 9/29 — Sura At-Takwir التكوير (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura At-Takwir Sikiliza, Sura At-Takwir Tafsiri, Sura At-Takwir mp3, Sura At-Takwir pdf. Aya 7–11. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema