Nuh · 15/28
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Nuh
أَلَمْ تَرَوْا كَيْفَ خَلَقَ اللَّهُ سَبْعَ سَمَاوَاتٍ طِبَاقًا ۝١٥
Alam taraw kaifa khalaqal laahu sab`a samaawaatin tibaaqaa
📖 Kwa Kiswahili
Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?

M Mishary Rashid Alafasy ✓
M Mahmoud Khalil Al-Husary ✓
A Abdurrahman As-Sudais ✓
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi ✓
A Abdul Basit Abdul Samad ✓
A Ali Al-Hudhaify ✓
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy ✓
A Abu Bakr Ash-Shaatree ✓
M Muhammad Ayyoub ✓
A Abdullah Basfar ✓
A Abdullah Al-Juhani ✓
M Maher Al Muaiqly ✓
0:00
0:00


📜 Aya 13-17 — Sura Nuh

13مَّا لَكُمْ لَا تَرْجُونَ لِلَّهِ وَقَارًا
Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu?
14وَقَدْ خَلَقَكُمْ أَطْوَارًا
Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja?
15أَلَمْ تَرَوْا كَيْفَ خَلَقَ اللَّهُ سَبْعَ سَمَاوَاتٍ طِبَاقًا
Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?
16وَجَعَلَ الْقَمَرَ فِيهِنَّ نُورًا وَجَعَلَ الشَّمْسَ سِرَاجًا
Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa?
17وَاللَّهُ أَنبَتَكُم مِّنَ الْأَرْضِ نَبَاتًا
Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kama mimea.
NuhFaharasa ya Qurani
28Aya
MakkaMahali pa Kuteremshwa
15Aya

Tafsiri — Nuh 15

Sura Nuh Aya 15 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa…

Sura Aya 15/28 — Sura Nuh نوح (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Nuh Sikiliza, Sura Nuh Tafsiri, Sura Nuh mp3, Sura Nuh pdf. Aya 13–17. Kwa Kiswahili: Soomaali.





Kurani Tukufu


Wednesday, September 30, 2026

Usitusahau katika dua zako njema