Nuh · 24/28
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Nuh
وَقَدْ أَضَلُّوا كَثِيرًا ۖ وَلَا تَزِدِ الظَّالِمِينَ إِلَّا ضَلَالًا ۝٢٤
Wa qad adalloo kasee ranw wa laa tazidiz zaalimeena illaa dalaalaa
📖 Kwa Kiswahili
Na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 22-26 — Sura Nuh

22وَمَكَرُوا مَكْرًا كُبَّارًا
Na wakapanga vitimbi vikubwa.
23وَقَالُوا لَا تَذَرُنَّ آلِهَتَكُمْ وَلَا تَذَرُنَّ وَدًّا وَلَا سُوَاعًا وَلَا يَغُوثَ وَيَعُوقَ وَنَسْرًا
Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwache Wadda wala Suwaa' wala Yaghutha, wala Yau'qa, wala Nasra.
24وَقَدْ أَضَلُّوا كَثِيرًا ۖ وَلَا تَزِدِ الظَّالِمِينَ إِلَّا ضَلَالًا
Na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.
25مِّمَّا خَطِيئَاتِهِمْ أُغْرِقُوا فَأُدْخِلُوا نَارًا فَلَمْ يَجِدُوا لَهُم مِّن دُونِ اللَّهِ أَنصَارًا
Basi kwa ajili ya makosa yao waligharikishwa wakaingizwa Motoni, wala hawakuwapata wa kuwanusuru badala ya Mwenyezi Mungu.
26وَقَالَ نُوحٌ رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى الْأَرْضِ مِنَ الْكَافِرِينَ دَيَّارًا
Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!
NuhFaharasa ya Qurani
28Aya
MakkaRevelation
24Aya

Tafsiri — Nuh 24

Sura Nuh Aya 24 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila…

Sura Aya 24/28 — Sura Nuh نوح (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Nuh Sikiliza, Sura Nuh Tafsiri, Sura Nuh mp3, Sura Nuh pdf. Aya 22–26. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema