Ya-Sin · 68/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ya-Sin
وَمَن نُّعَمِّرْهُ نُنَكِّسْهُ فِي الْخَلْقِ ۖ أَفَلَا يَعْقِلُونَ ۝٦٨
Wa man nu `ammirhu nunakkishu fil-khalq; afalaa ya`qiloon
📖 Kwa Kiswahili
Na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii?

🎧 Sikiliza


📜 Aya 66-70 — Sura Ya-Sin

66وَلَوْ نَشَاءُ لَطَمَسْنَا عَلَىٰ أَعْيُنِهِمْ فَاسْتَبَقُوا الصِّرَاطَ فَأَنَّىٰ يُبْصِرُونَ
Na tungeli penda tungeli yafutilia mbali macho yao, wakawa wanaiwania njia. Lakini wange ionaje?
67وَلَوْ نَشَاءُ لَمَسَخْنَاهُمْ عَلَىٰ مَكَانَتِهِمْ فَمَا اسْتَطَاعُوا مُضِيًّا وَلَا يَرْجِعُونَ
Na tungeli taka tunge wageuza sura hapo hapo walipo, basi wasinge weza kwenda wala kurudi.
68وَمَن نُّعَمِّرْهُ نُنَكِّسْهُ فِي الْخَلْقِ ۖ أَفَلَا يَعْقِلُونَ
Na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii?
69وَمَا عَلَّمْنَاهُ الشِّعْرَ وَمَا يَنبَغِي لَهُ ۚ إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ وَقُرْآنٌ مُّبِينٌ
Wala hatukumfundisha (Muhammad) mashairi, wala hayatakikani kwake hayo. Haukuwa huu ila ni ukumbusho na Qur'ani inayo bainisha.
70لِّيُنذِرَ مَن كَانَ حَيًّا وَيَحِقَّ الْقَوْلُ عَلَى الْكَافِرِينَ
Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
68Aya

Tafsiri — Ya-Sin 68

Sura Ya-Sin Aya 68 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii?

Sura Aya 68/83 — Sura Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ya-Sin Sikiliza, Sura Ya-Sin Tafsiri, Sura Ya-Sin mp3, Sura Ya-Sin pdf. Aya 66–70. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema