Al-Ma'arij · 32/44
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Ma'arij
وَالَّذِينَ هُمْ لِأَمَانَاتِهِمْ وَعَهْدِهِمْ رَاعُونَ ۝٣٢
Wallazeena hum li amaa naatihim wa `ahdihim raa`oon
📖 Kwa Kiswahili
Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao,

M Mishary Rashid Alafasy ✓
M Mahmoud Khalil Al-Husary ✓
A Abdurrahman As-Sudais ✓
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi ✓
A Abdul Basit Abdul Samad ✓
A Ali Al-Hudhaify ✓
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy ✓
A Abu Bakr Ash-Shaatree ✓
M Muhammad Ayyoub ✓
A Abdullah Basfar ✓
A Abdullah Al-Juhani ✓
M Maher Al Muaiqly ✓
0:00
0:00


📜 Aya 30-34 — Sura Al-Ma'arij

30إِلَّا عَلَىٰ أَزْوَاجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ
Isipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi -
31فَمَنِ ابْتَغَىٰ وَرَاءَ ذَٰلِكَ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْعَادُونَ
Lakini wanao taka kinyume ya haya, basi hao ndio wanao ruka mipaka.
32وَالَّذِينَ هُمْ لِأَمَانَاتِهِمْ وَعَهْدِهِمْ رَاعُونَ
Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao,
33وَالَّذِينَ هُم بِشَهَادَاتِهِمْ قَائِمُونَ
Na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao,
34وَالَّذِينَ هُمْ عَلَىٰ صَلَاتِهِمْ يُحَافِظُونَ
Na ambao wanazihifadhi Sala zao.
Al-Ma'arijFaharasa ya Qurani
44Aya
MakkaMahali pa Kuteremshwa
32Aya

Tafsiri — Al-Ma'arij 32

Sura Al-Ma'arij Aya 32 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao,

Sura Aya 32/44 — Sura Al-Ma'arij المعارج (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Ma'arij Sikiliza, Sura Al-Ma'arij Tafsiri, Sura Al-Ma'arij mp3, Sura Al-Ma'arij pdf. Aya 30–34. Kwa Kiswahili: Soomaali.





Kurani Tukufu


Tuesday, September 29, 2026

Usitusahau katika dua zako njema