Ya-Sin · 26/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
قِيلَ ادْخُلِ الْجَنَّةَ ۖ قَالَ يَا لَيْتَ قَوْمِي يَعْلَمُونَ ۝٢٦
Qeelad khulil Jannnah; qaala yaa laita qawmee ya`lamoon
📖 Kwa Kiswahili
Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua
🎧 Sikiliza

📜 Aya 24-28 — Ya-Sin

24إِنِّي إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
25إِنِّي آمَنتُ بِرَبِّكُمْ فَاسْمَعُونِ
Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni!
26قِيلَ ادْخُلِ الْجَنَّةَ ۖ قَالَ يَا لَيْتَ قَوْمِي يَعْلَمُونَ
Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua
27بِمَا غَفَرَ لِي رَبِّي وَجَعَلَنِي مِنَ الْمُكْرَمِينَ
Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa.
28۞ وَمَا أَنزَلْنَا عَلَىٰ قَوْمِهِ مِن بَعْدِهِ مِن جُندٍ مِّنَ السَّمَاءِ وَمَا كُنَّا مُنزِلِينَ
Na hatukuwateremshia kaumu yake baada yake jeshi kutoka mbinguni, wala si wenye kuteremsha.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
26Aya

Tafsiri — Ya-Sin 26

Sura Ya-Sin Aya 26 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua

Sura Aya 26/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 24–28. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema