Ya-Sin · 29/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ۝٢٩
In kaanat illaa saihatanw waahidatan fa-izaa hum khaamidoon
📖 Kwa Kiswahili
Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa!

🎧 Sikiliza


📜 Aya 27-31 — Ya-Sin

27بِمَا غَفَرَ لِي رَبِّي وَجَعَلَنِي مِنَ الْمُكْرَمِينَ
Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa.
28۞ وَمَا أَنزَلْنَا عَلَىٰ قَوْمِهِ مِن بَعْدِهِ مِن جُندٍ مِّنَ السَّمَاءِ وَمَا كُنَّا مُنزِلِينَ
Na hatukuwateremshia kaumu yake baada yake jeshi kutoka mbinguni, wala si wenye kuteremsha.
29إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ
Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa!
30يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ ۚ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ
Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli.
31أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ
Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
29Aya

Tafsiri — Ya-Sin 29

Sura Ya-Sin Aya 29 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa!

Sura Aya 29/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 27–31. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema