Ya-Sin · 41/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ya-Sin
وَآيَةٌ لَّهُمْ أَنَّا حَمَلْنَا ذُرِّيَّتَهُمْ فِي الْفُلْكِ الْمَشْحُونِ ۝٤١
Wa Aayatul lahum annaa hamalnaa zurriyatahum fil fulkil mashhoon
📖 Kwa Kiswahili
Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 39-43 — Sura Ya-Sin

39وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.
40لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ
Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao.
41وَآيَةٌ لَّهُمْ أَنَّا حَمَلْنَا ذُرِّيَّتَهُمْ فِي الْفُلْكِ الْمَشْحُونِ
Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni.
42وَخَلَقْنَا لَهُم مِّن مِّثْلِهِ مَا يَرْكَبُونَ
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.
43وَإِن نَّشَأْ نُغْرِقْهُمْ فَلَا صَرِيخَ لَهُمْ وَلَا هُمْ يُنقَذُونَ
Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
41Aya

Tafsiri — Ya-Sin 41

Sura Ya-Sin Aya 41 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika…

Sura Aya 41/83 — Sura Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ya-Sin Sikiliza, Sura Ya-Sin Tafsiri, Sura Ya-Sin mp3, Sura Ya-Sin pdf. Aya 39–43. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema