Ya-Sin · 42/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ya-Sin
وَخَلَقْنَا لَهُم مِّن مِّثْلِهِ مَا يَرْكَبُونَ ۝٤٢
Wa khalaqnaa lahum mim-mislihee maa yarkaboon
📖 Kwa Kiswahili
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.

M Mishary Rashid Alafasy ✓
M Mahmoud Khalil Al-Husary ✓
A Abdurrahman As-Sudais ✓
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi ✓
A Abdul Basit Abdul Samad ✓
A Ali Al-Hudhaify ✓
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy ✓
A Abu Bakr Ash-Shaatree ✓
M Muhammad Ayyoub ✓
A Abdullah Basfar ✓
A Abdullah Al-Juhani ✓
M Maher Al Muaiqly ✓
0:00
0:00


📜 Aya 40-44 — Sura Ya-Sin

40لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ
Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao.
41وَآيَةٌ لَّهُمْ أَنَّا حَمَلْنَا ذُرِّيَّتَهُمْ فِي الْفُلْكِ الْمَشْحُونِ
Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni.
42وَخَلَقْنَا لَهُم مِّن مِّثْلِهِ مَا يَرْكَبُونَ
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.
43وَإِن نَّشَأْ نُغْرِقْهُمْ فَلَا صَرِيخَ لَهُمْ وَلَا هُمْ يُنقَذُونَ
Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,
44إِلَّا رَحْمَةً مِّنَّا وَمَتَاعًا إِلَىٰ حِينٍ
Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaMahali pa Kuteremshwa
42Aya

Tafsiri — Ya-Sin 42

Sura Ya-Sin Aya 42 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.

Sura Aya 42/83 — Sura Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ya-Sin Sikiliza, Sura Ya-Sin Tafsiri, Sura Ya-Sin mp3, Sura Ya-Sin pdf. Aya 40–44. Kwa Kiswahili: Soomaali.





Kurani Tukufu


Friday, October 2, 2026

Usitusahau katika dua zako njema