Ya-Sin · 23/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
أَأَتَّخِذُ مِن دُونِهِ آلِهَةً إِن يُرِدْنِ الرَّحْمَٰنُ بِضُرٍّ لَّا تُغْنِ عَنِّي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا وَلَا يُنقِذُونِ ۝٢٣
A-attakhizu min dooniheee aalihatan iny-yuridnir Rahmaanu bidurril-laa tughni `annee shafaa `atuhum shai `anw-wa laa yunqizoon
📖 Kwa Kiswahili
Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 21-25 — Ya-Sin

21اتَّبِعُوا مَن لَّا يَسْأَلُكُمْ أَجْرًا وَهُم مُّهْتَدُونَ
Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe wameongoka.
22وَمَا لِيَ لَا أَعْبُدُ الَّذِي فَطَرَنِي وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?
23أَأَتَّخِذُ مِن دُونِهِ آلِهَةً إِن يُرِدْنِ الرَّحْمَٰنُ بِضُرٍّ لَّا تُغْنِ عَنِّي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا وَلَا يُنقِذُونِ
Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.
24إِنِّي إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
25إِنِّي آمَنتُ بِرَبِّكُمْ فَاسْمَعُونِ
Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni!
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
23Aya

Tafsiri — Ya-Sin 23

Sura Ya-Sin Aya 23 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema,…

Sura Aya 23/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 21–25. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema