Ya-Sin · 24/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ya-Sin
إِنِّي إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ۝٢٤
Inneee izal-lafee dalaa-lim-mubeen
📖 Kwa Kiswahili
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 22-26 — Sura Ya-Sin

22وَمَا لِيَ لَا أَعْبُدُ الَّذِي فَطَرَنِي وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?
23أَأَتَّخِذُ مِن دُونِهِ آلِهَةً إِن يُرِدْنِ الرَّحْمَٰنُ بِضُرٍّ لَّا تُغْنِ عَنِّي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا وَلَا يُنقِذُونِ
Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.
24إِنِّي إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
25إِنِّي آمَنتُ بِرَبِّكُمْ فَاسْمَعُونِ
Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni!
26قِيلَ ادْخُلِ الْجَنَّةَ ۖ قَالَ يَا لَيْتَ قَوْمِي يَعْلَمُونَ
Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
24Aya

Tafsiri — Ya-Sin 24

Sura Ya-Sin Aya 24 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.

Sura Aya 24/83 — Sura Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ya-Sin Sikiliza, Sura Ya-Sin Tafsiri, Sura Ya-Sin mp3, Sura Ya-Sin pdf. Aya 22–26. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema