Ya-Sin · 56/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ ٥٦
Transliteration
Hum wa azwaajuhum fee zilaalin `alal araaa`iki muttaki`oon
Tafsiri (Kwa Kiswahili)
📖 Kwa Kiswahili
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.
Additional reference in Soomaali
🎧 Sikiliza
📜 Aya 54-58 — Ya-Sin
54فَالْيَوْمَ لَا تُظْلَمُ نَفْسٌ شَيْئًا وَلَا تُجْزَوْنَ إِلَّا مَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ
Basi leo nafsi yoyote haitadhulumiwa kitu, wala hamtalipwa ila yale mliyo kuwa mkiyatenda.
55إِنَّ أَصْحَابَ الْجَنَّةِ الْيَوْمَ فِي شُغُلٍ فَاكِهُونَ
Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.
56هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.
57لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
58سَلَامٌ قَوْلًا مِّن رَّبٍّ رَّحِيمٍ
"Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo kwa Mola Mlezi Mwenye kurehemu.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
56Aya
Tafsiri — Ya-Sin 56
Sura Ya-Sin Aya 56 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya…Sura Aya 56/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 54–58. Kwa Kiswahili: Soomaali.
العربية
English
Bahasa Indonesia
Türkçe
Русский
فارسی
Français
اردو
বাংলা
Deutsch
Español
中文
हिन्दी
Português
Italiano
ภาษาไทย
Polski
Nederlands
Shqip
Kiswahili
O'zbek
தமிழ்
Melayu
Bosanski
Soomaali
Azərbaycan
کوردی
한국어
日本語
Svenska
Dansk
Norsk
پښتو
മലയാളം
සිංහල
Tamazight
Hausa
አማርኛ
Български
Тоҷикӣ
Қазақша
Filipino
سنڌي
Yorùbá
Fulfulde
Татарча
ئۇيغۇرچە
Кыргызча
ਪੰਜਾਬੀ
Jawa
తెలుగు
မြန်မာ
ગુજરાતી
Oromo
मराठी
Tiếng Việt
Malagasy
Нохчийн
Wolof
ދިވެހި
ಕನ್ನಡ
Українська
Ελληνικά
ქართული
ខ្មែរ
دری
Qafar af
Maranao
नेपाली
Kurani Tukufu
Tuesday, August 18, 2026
Usitusahau katika dua zako njema








