Ya-Sin · 57/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ya-Sin
لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ ۝٥٧
Lahum feehaa faakiha tunw-wa lahum maa yadda`oon
📖 Kwa Kiswahili
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 55-59 — Sura Ya-Sin

55إِنَّ أَصْحَابَ الْجَنَّةِ الْيَوْمَ فِي شُغُلٍ فَاكِهُونَ
Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.
56هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.
57لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
58سَلَامٌ قَوْلًا مِّن رَّبٍّ رَّحِيمٍ
"Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo kwa Mola Mlezi Mwenye kurehemu.
59وَامْتَازُوا الْيَوْمَ أَيُّهَا الْمُجْرِمُونَ
Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
57Aya

Tafsiri — Ya-Sin 57

Sura Ya-Sin Aya 57 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho…

Sura Aya 57/83 — Sura Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ya-Sin Sikiliza, Sura Ya-Sin Tafsiri, Sura Ya-Sin mp3, Sura Ya-Sin pdf. Aya 55–59. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema