Al-Fajr · 4/30
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Fajr
وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ ۝٤
Wallaili izaa yasr
📖 Kwa Kiswahili
Na kwa usiku unapo pita,

🎧 Sikiliza


📜 Aya 2-6 — Sura Al-Fajr

2وَلَيَالٍ عَشْرٍ
Na kwa masiku kumi,
3وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
4وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Na kwa usiku unapo pita,
5هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِّذِي حِجْرٍ
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?
6أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
Al-FajrFaharasa ya Qurani
30Aya
MakkaRevelation
4Aya

Tafsiri — Al-Fajr 4

Sura Al-Fajr Aya 4 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na kwa usiku unapo pita,

Sura Aya 4/30 — Sura Al-Fajr الفجر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Fajr Sikiliza, Sura Al-Fajr Tafsiri, Sura Al-Fajr mp3, Sura Al-Fajr pdf. Aya 2–6. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema