Al-Fajr · 5/30
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Fajr
هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِّذِي حِجْرٍ ۝٥
Hal fee zaalika qasamul lizee hijr
📖 Kwa Kiswahili
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?

🎧 Sikiliza


📜 Aya 3-7 — Sura Al-Fajr

3وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
4وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Na kwa usiku unapo pita,
5هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِّذِي حِجْرٍ
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?
6أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
7إِرَمَ ذَاتِ الْعِمَادِ
Wa Iram, wenye majumba marefu?
Al-FajrFaharasa ya Qurani
30Aya
MakkaRevelation
5Aya

Tafsiri — Al-Fajr 5

Sura Al-Fajr Aya 5 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?

Sura Aya 5/30 — Sura Al-Fajr الفجر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Fajr Sikiliza, Sura Al-Fajr Tafsiri, Sura Al-Fajr mp3, Sura Al-Fajr pdf. Aya 3–7. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema