Al-Fajr · 3/30
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Fajr
وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ ۝٣
Wash shaf`i wal watr
📖 Kwa Kiswahili
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,

🎧 Sikiliza


📜 Aya 1-5 — Sura Al-Fajr

1وَالْفَجْرِ
Naapa kwa alfajiri,
2وَلَيَالٍ عَشْرٍ
Na kwa masiku kumi,
3وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
4وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Na kwa usiku unapo pita,
5هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِّذِي حِجْرٍ
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?
Al-FajrFaharasa ya Qurani
30Aya
MakkaRevelation
3Aya

Tafsiri — Al-Fajr 3

Sura Al-Fajr Aya 3 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,

Sura Aya 3/30 — Sura Al-Fajr الفجر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Fajr Sikiliza, Sura Al-Fajr Tafsiri, Sura Al-Fajr mp3, Sura Al-Fajr pdf. Aya 1–5. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema