Al-Balad · 3/20
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Balad
وَوَالِدٍ وَمَا وَلَدَ ۝٣
Wa waalidinw wa maa walad
📖 Kwa Kiswahili
Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 1-5 — Sura Al-Balad

1لَا أُقْسِمُ بِهَٰذَا الْبَلَدِ
Naapa kwa Mji huu!
2وَأَنتَ حِلٌّ بِهَٰذَا الْبَلَدِ
Nawe unaukaa Mji huu.
3وَوَالِدٍ وَمَا وَلَدَ
Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa.
4لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي كَبَدٍ
Hakika tumemuumba mtu katika taabu.
5أَيَحْسَبُ أَن لَّن يَقْدِرَ عَلَيْهِ أَحَدٌ
Ati anadhani hapana yeyote ataye muweza?
Al-BaladFaharasa ya Qurani
20Aya
MakkaRevelation
3Aya

Tafsiri — Al-Balad 3

Sura Al-Balad Aya 3 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na naapa kwa mzazi na alicho kizaa.

Sura Aya 3/20 — Sura Al-Balad البلد (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Balad Sikiliza, Sura Al-Balad Tafsiri, Sura Al-Balad mp3, Sura Al-Balad pdf. Aya 1–5. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema