Al-Ahzab · 70/73
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Ahzab
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَقُولُوا قَوْلًا سَدِيدًا ۝٧٠
Yaaa aiyuhal lazeena aamanut taqul laaha wa qooloo qawlan sadeedaa
📖 Kwa Kiswahili
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 68-72 — Sura Al-Ahzab

68رَبَّنَا آتِهِمْ ضِعْفَيْنِ مِنَ الْعَذَابِ وَالْعَنْهُمْ لَعْنًا كَبِيرًا
Mola wetu Mlezi! Wape wao adhabu mara mbili, na uwalaani laana kubwa.
69يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ آذَوْا مُوسَىٰ فَبَرَّأَهُ اللَّهُ مِمَّا قَالُوا ۚ وَكَانَ عِندَ اللَّهِ وَجِيهًا
Enyi mlio amini! Msiwe kama wale walio mtaabisha Musa, lakini Mwenyezi Mungu akamtakasa na waliyo yasema, naye alikuwa mwenye hishima mbele ya Mwenyezi Mungu.
70يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَقُولُوا قَوْلًا سَدِيدًا
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa.
71يُصْلِحْ لَكُمْ أَعْمَالَكُمْ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ ۗ وَمَن يُطِعِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ فَقَدْ فَازَ فَوْزًا عَظِيمًا
Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa.
72إِنَّا عَرَضْنَا الْأَمَانَةَ عَلَى السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالْجِبَالِ فَأَبَيْنَ أَن يَحْمِلْنَهَا وَأَشْفَقْنَ مِنْهَا وَحَمَلَهَا الْإِنسَانُ ۖ إِنَّهُ كَانَ ظَلُومًا جَهُولًا
Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima; na vyote hivyo vikakataa kuichukua na vikaogopa. Lakini mwanaadamu akaichukua. Hakika yeye amekuwa dhaalimu mjinga.
Al-AhzabFaharasa ya Qurani
73Aya
MadinaRevelation
70Aya

Tafsiri — Al-Ahzab 70

Sura Al-Ahzab Aya 70 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya…

Sura Aya 70/73 — Sura Al-Ahzab الأحزاب (Madina). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Ahzab Sikiliza, Sura Al-Ahzab Tafsiri, Sura Al-Ahzab mp3, Sura Al-Ahzab pdf. Aya 68–72. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema