Ya-Sin · 17/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
وَمَا عَلَيْنَا إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ ۝١٧
Wa maa `alainaaa illal balaaghul mubeen
📖 Kwa Kiswahili
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
🎧 Sikiliza

📜 Aya 15-19 — Ya-Sin

15قَالُوا مَا أَنتُمْ إِلَّا بَشَرٌ مِّثْلُنَا وَمَا أَنزَلَ الرَّحْمَٰنُ مِن شَيْءٍ إِنْ أَنتُمْ إِلَّا تَكْذِبُونَ
Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu.
16قَالُوا رَبُّنَا يَعْلَمُ إِنَّا إِلَيْكُمْ لَمُرْسَلُونَ
Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.
17وَمَا عَلَيْنَا إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
18قَالُوا إِنَّا تَطَيَّرْنَا بِكُمْ ۖ لَئِن لَّمْ تَنتَهُوا لَنَرْجُمَنَّكُمْ وَلَيَمَسَّنَّكُم مِّنَّا عَذَابٌ أَلِيمٌ
Wakasema: Sisi tumeagua kuwa nyinyi ni wakorofi. Ikiwa hamtaacha basi kwa yakini tutakupigeni mawe, na mtapata adhabu chungu kutoka kwetu.
19قَالُوا طَائِرُكُم مَّعَكُمْ ۚ أَئِن ذُكِّرْتُم ۚ بَلْ أَنتُمْ قَوْمٌ مُّسْرِفُونَ
Wakasema: Ukorofi wenu mnao wenyewe! Je! Ni kwa kuwa mnakumbushwa? Ama nyinyi ni watu walio pindukia mipaka.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
17Aya

Tafsiri — Ya-Sin 17

Sura Ya-Sin Aya 17 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.

Sura Aya 17/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 15–19. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema